KONGAMANO LA
UFALME WA MUNGU

“Kwa ajili ya kujengwa kwa Ufalme wa Mungu.”

Thibitisha mahudhurio ifikapo 27/09/2026 • All are welcome!
USAJILI UMEFUNGULIWA

JISAJILI SASA
NI BURE KABISA

“Kabla ya tarehe 27/09/2026”

Dakika moja tu — jina, simu na kanisa lako.
TAREHE INAKARIBIA

SIKU ZIMEBAKI
CHACHE!

“Weka nafasi yako leo”

Jisajili leo ili tukuandalie mahali na cheti chako.
TAREHE
06 - 09 Oktoba 2026
Siku nne mfululizo
MAHALI
Kanisa la Shekina
Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam
VIPINDI
Viwili kila siku
Asubuhi 3:00 • Jioni 10:00
GHARAMA
Bure kabisa
Vyeti kwa darasa la asubuhi
1 • KUHUSU KONGAMANO

Wito wa kujengwa pamoja katika Ufalme wa Mungu

Siku nne za mafunzo ya Ufalme. Asubuhi: darasa la wachungaji, wazee na viongozi. Jioni: semina ya uamsho kwa kila mtu. Kuingia ni bure.

MAFUNZO MAALUMU
Kwa Wachungaji & Wazee
Uongozi wa Ufalme na majukumu ya mchungaji
SEMINA YA WOTE
Open kwa Waumini Wote
Neno, sifa na maombezi kwa wote
✦ Cheti hutolewa kwa aliyehudhuria darasa la asubuhi siku zote.
MNENAJI MKUU
JA
ArchBishop Dr.
Joseph Alexander
🇺🇸 Kutoka Marekani

Mtumishi mwenye uzoefu wa kimataifa. Atafundisha kuhusu Utawala wa Kristo na wito wa kanisa leo.

06-09 Oct
Mafunzo ya kila siku
2 Vipindi / Siku
Asubuhi & Jioni
Shekina Church
Kunduchi Mtongani
↗
2 • WANENAJI 2026

Wanenaji

Christocracy Tanzania ikishirikiana na uongozi wa CPCT Wilaya ya Kinondoni
Arch Bishop Dr. Joseph Alexander
Arch Bishop Dr. Joseph Alexander
Mnenaji Mkuu • Kutoka USA
Elder Albert Mkongwa
Elder Albert Mkongwa
Mwenyekiti wa Christocracy Tanzania
Bishop Powel Mfinanga
Bishop Powel Mfinanga
Tanzania
Bishop John Kapeta
Bishop John Kapeta
Tanzania
Pastor Daniel Mulesi
Pastor Daniel Mulesi
Katibu wa Christocracy Tanzania
FL
Pastor Festo Luhwago
Mwenyekiti CPCT (W) Kinondoni
Apostle John Graham
Apostle John Graham
Uganda
Bishop Andrew Mukasa
Bishop Andrew Mukasa
Uganda
Apostle George Obiero
Apostle George Obiero
Kenya
Pastor Elizabeth Kalinga
Pastor Elizabeth Kalinga
Tanzania
Pastor Esther Mukasa
Pastor Esther Mukasa
Uganda
Pastor Martha Msokwa
Pastor Martha Msokwa
Tanzania
3 • RATIBA YA KONGAMANO

Vipindi viwili vya nguvu
kila siku

Jisajili mapema ili maandalizi yaende vizuri.
01
ASUBUHI • 3:00 - 8:00
Mafunzo Maalumu kwa Wachungaji na Wazee
  • • Misingi ya Ufalme na Christocracy
  • • Uongozi na ujenzi wa kanisa lenye afya
  • • Maswali na maombezi ya kichungaji
VYETI VITATOLEWA • MAHUDHURIO KAMILI
02
JIONI • 10:00 - 12:00
Semina ya Wote - Open
  • • Neno la Ufalme kwa waumini wote
  • • Kuabudu, maombezi na ushuhuda
  • • All are welcome! Karibu na familia
4 • MAHALI

Kanisa la Shekina
Kunduchi Mtongani

Nyuma ya kituo cha polisi, Kunduchi Mtongani. Kuna daladala za Mtongani; njia rahisi kutoka Tegeta na Bagamoyo Road.

Ramani ya Shekina
Fungua ramani ↗
📍 -6.70909, 39.22688 • Kunduchi
Fungua Google Maps Kunduchi Mtongani • Dar es Salaam
WASILIANA • THIBITISHA
DM
Mch. Daniel Mulesi
Katibu wa Christocracy Tanzania
FL
Mch. Festo Simon Luhwago
Mwenyekiti CPCT (W) Kinondoni
Mratibu wa Wilaya
Kwa maswali, piga au tuma WhatsApp.
MUHIMU
Cheti kwa darasa la asubuhi
Lete Biblia na daftari. Mlango hufunguliwa saa 2:30 asubuhi.
5 • USAJILI

Thibitisha mahudhurio yako leo

Inachukua dakika moja. Ukimaliza, utatuma uthibitisho WhatsApp na kupakua mwaliko wako.

Tarehe ya mwisho: 27/09/2026
Watu 40+ wamethibitisha wiki hii
FOMU YA USAJILI

Jina, nchi, namba ya simu, kanisa na vipindi utakavyohudhuria. Usajili ni bure.

Fungua fomu ya usajili →
MAKONGAMANO YETU

Historia ya makongamano

Yote →